Taifa Leo

Wavuvi Pwani walia fuo za bahari kunyakuliwa – Taifa Leo

Loading...

Na SAMUEL BAYA

WAVUVI katika ukanda wa Pwani wamepoteza ekari nyingi za ardhi walizokuwa wakitumia katika ufuo wa bahari kwa wanyakuzi wa ardhi.

Ripoti iliyotayarishwa na taasisi moja ya utafiti katika eneo la Pwani imeonyesha kwamba, mahoteli, makanisa, mashirika ya kiserikali na hata mabwenyenye wenye ushawishi mkubwa nchini wamehusika katika unyakuzi ardhi iliyotumiwa na wavuvi.

Loading...

Mengi ya maeneo ni yale ambayo hutumiwa na wavuvi kuegesha boti zao baada ya shughuli zao au maeneo ambapo wanafaa…

READ MORE FROM ORIGINAL SOURCE

Loading...

Related posts

Rudisha nje Kenya ikichagua kikosi cha Riadha za Dunia 2019 – Taifa Leo

klf

Sababu za kuteuliwa miswada inayopendekeza wabunge wateuliwa kutoka bungeni – Taifa Leo

klf

Kiini cha tofauti za matumizi ya lugha katika miktadha mbalimbali – Taifa Leo

klf