Taifa Leo

Ng’ombe sasa watapata vyeti vya kuzaliwa kabla ya Wakenya wengi! – Taifa Leo

Loading...

Na DOUGLAS MUTUA

WEWE kaa hapo ukidai hujui ulizaliwa tarehe ngapi; kuna ng’ombe wanaojua siku zao za kuzaliwa!

Endelea kuduwaa hapo, utasikia kunaandaliwa sherehe za ‘mazazi’ ya ng’ombe!

Loading...

Hivi nikuulize, siku ya mwisho ulipofanyiwa sherehe za mazazi ni lini? Mwaka gani? Ama hujawahi kuwa na sherehe za ukumbusho wa siku uliyozaliwa?

Najua umeanza kusonya, kunitusi na kusema eti hiyo si desturi ya Mwafrika, mara ni ubadhirifu wa matajiri, sijui ni maringo ya watu wa Nairobi, na mambo kama…

READ MORE FROM ORIGINAL SOURCE

Loading...

Related posts

Thamani ya Prof Magoha ni Sh250 milioni – Taifa Leo

klf

Tabia za ushoga zaripotiwa Juja – Taifa Leo

klf

Mahindi yalimvutia njaa akaona akimbilie mboga na maharagwe – Taifa Leo

klf