Tuko Kiswahili

Mbunge adai wanaume Isiolo wameepuka tendo la ndoa kwa ajili ya uhaba wa maji ▷ Kenya News

Loading...

Mbunge wa Isiolo Kusini Hassan Odha amedai wanandoa katika eneo bunge lake hawajakuwa wakishiriki tendo la ndoa kwa ajili ya uhaba wa maji

Akizungumza akiwa mjini Isiolo Jumatano Oktoba 16, Odha aliwashangaza wengi baada ya kudai wakazi hawajakuwa wakifurahia ndoa zao kwa miezi kadhaa kwa sababu ya kukosa maji.

Habari Nyingine: MCA akamatwa kwa madai ya kughushi vyeti vya shule

Loading...
Mbunge adai wanaume Isiolo wameepuka tendo la ndoa kwa ajili ya uhaba wa maji

Wakazi wa Isiolo waandamana kwa ajili ya uhaba wa maji
Source: UGC

” Baadhi ya wanaume wamenilalamikia kwamba…

READ MORE FROM ORIGINAL SOURCE

Loading...

Related posts

Wetang’ula azuru Siaya na kutangaza azma yake ya urais 2022 ▷ Kenya News

klf

Magazeti ya Kenya Alhamisi, Septemba 12: Mariga ataabika, mshawishi wake DP Ruto akiendelea kunyamaza ▷ Kenya News

klf

Jamaa Kisumu anaswa na bangi yenye thamani ya KSh 300,000 ▷ Kenya News

klf