Tuko Kiswahili

Majambazi walioiba KSh 72M walilamba kila kitu, watupa masanduku kichakani Kiambu ▷ Kenya News

Loading...

Polisi wamepata masanduku yaliyokuwa yamebeba shilingi milioni 72 zilizoibwa jijini Nairobi, Alhamisi, Septemba 5.

Masanduku hayo yalipatikana kichakani eneo la Thogoto, Kaunti ya Kiambu.

Habari Nyingine: Itumbi ashtakiwa kwa madai ya kukosa kusaidia mtoto wake

Loading...
Sanduku zilizokuwa na milioni 72 zapatikana msituni Kiambu

Milioni 72 zilizokuwa zikipelekwa kwenye nitambo ya ATM na kampuni ya G4S ziliibiwa Alhamisi, Septemba 5.
Source: Facebook

Polisi kutoka Kiambu walisema masanduku hayo yalipatikana baada ya mkazi mmoja kuyaona na kufahamisha…

READ MORE FROM ORIGINAL SOURCE

Loading...

Related posts

Msanii Akothee atangaza kuokoka, aeleza hataacha nguo za kuanika utupu ▷ Kenya News

klf

Mariga na wengine 15 kuwania tikiti ya chama cha Jubilee ▷ Kenya News

klf

Picha tamu za sherehe ya kuzaliwa ya mama, mpenzi wa Diamond Platinumz ▷ Kenya News

klf