Tuko Kiswahili

Lilian Muli amuandalia mwanawe wa pili sherehe nono ya siku yake ya kuzaliwa ▷ Kenya News

Loading...

Mtangazaji maarufu wa runinga ya Citizen Lilian Muli ametetemesha mitandao ya kijamii baada ya kumuandalia mwanawe wa pili sherehe ya kukata na shoka siku yake ya kuzaliwa

Muli ambaye alijaliwa mtoto huyo Julai 21, 2018, alichapisha mitandaoni picha kadhaa za sherehe hiyo huku akimtakia mwanawe Liam kila la heri anapoendelea kusukuma gurudumu la maisha.

Habari Nyingine: Wanasiasa wa Jubilee na ODM waingiwa na woga kuhusu Punguza Mzigo

Loading...

Habari Nyingine: Wandani wa Raila wasukumwa kando huku akijiandaa…

READ MORE FROM ORIGINAL SOURCE

Loading...

Related posts

Jamaa amuua mjomba yake, awavamia 5 na kuwajeruhi vibaya ▷ Kenya News

klf

Bungoma: Yaya hayawani aliyemjeruhi mtoto wa mwaka mmoja kwa kumuuma akamatwa ▷ Kenya News

klf

Wakenya wakerwa na video ya mtangazaji Larry Madowo akila nyama ya panya ▷ Kenya News

klf