Taifa Leo

Kabras Sugar nje, MMUST ndani Kakamega Sevens ikianza – Taifa Leo

Loading...

Na GEOFFREY ANENE

WENYEJI wa duru ya ufunguzi ya mashindano ya raga ya wachezaji saba kila upande ya kitaifa ya Kakamega Sevens, Kabras Sugar na Western Bulls, walishindwa kuingia robo-fainali Jumamosi mjini Kakamega.

Loading...

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Masinde Muliro (MMUST) wameshangaza katika siku ya kwanza ya duru hii baada ya kubwaga mabingwa wa Kenya mwaka 2017 Kabras 24-5 na Kisii 29-0 na kujikatia tiketi ya robo-fainali kutoka Kundi C.

MMUST, ambao walianza kampeni kwa mguu mbaya…

READ MORE FROM ORIGINAL SOURCE

Loading...

Related posts

Mkataba wa serikali ya mpito watiwa saini Sudan, azimio la kikatiba lapatikana – Taifa Leo

klf

Uhuru atamtema Raila 2022, ‘Tangatanga’ sasa wasema – Taifa Leo

klf

Kipa mahiri Juma Kaseja asema Tanzania inaweza kutetemesha katika Afcon – Taifa Leo

klf