Taifa Leo

Chama sasa chataka Kaunti ziajiri madaktari waliohitimu – Taifa Leo

Loading...

Na WINNIE ATIENO

CHAMA cha madaktari nchini kinataka serikali za kaunti kuajiri madaktari zaidi ya 2,500 waliofuzu ili kukabiliana na uhaba wa wataalamu hao kitaifa.

Kulingana na Chama cha Wahudumu wa Matibabu na Madaktari wa Meno (KMPDU), madaktari hao walifuzu na kuhitimu katika sekta hiyo ilhali hawana kazi.

Loading...

Wakiongea kwenye kongamano lao la mwaka huko Mombasa, madaktari walisema idadi ya madaktari kwa wagonjwa ni mmoja kwa kila 16,000.

Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Ouma Oluga aidha alitaka…

READ MORE FROM ORIGINAL SOURCE

Loading...

Related posts

Wanafunzi wa MKU wafadhiliwa kujiendeleza katika ubunifu – Taifa Leo

klf

Mikakati thabiti itaokoa Shujaa – Taifa Leo

klf

Familia yalilia haki kuhusu mtoto aliyefia shuleni – Taifa Leo

klf