Taifa Leo

Aukot adai Mswada wa Punguza Mizigo uliyumbishwa na wanasiasa wenye tamaa – Taifa Leo

Loading...

Na SAMMY WAWERU

KIONGOZI wa Thirdway Alliance Dkt Ekuru Aukot amesema kuanguka kwa Mswada wa Punguza Mizigo kumechangiwa zaidi na wanasiasa wenye tamaa na ubinafsi.

Dkt Aukot pia amesema ifahamike wazi kuwa si wananchi walioangusha mswada huo ambao siku yake ya kujadiliwa na kupitishwa na mabunge ya kaunti ilifikia nanga jana, Oktoba 15.

Loading...

Kufikia muda uliowekewa, ni bunge moja tu, Uasin Gishu, lililokuwa limeupitisha. Mabunge yapatayo 18 yakiwemo Garissa, Nakuru, Nyamira, Nyeri, Homa Bay,…

READ MORE FROM ORIGINAL SOURCE

Loading...

Related posts

Nilikuwa mumu humu tu, sikuhepa! – Taifa Leo

klf

Misri yaipiga Tanzania 1-0 kirafiki – Taifa Leo

klf

Usajili wa Huduma Namba utaendelea baada ya siku 45 – Matiang’i – Taifa Leo

klf