Taifa Leo

Ajabu ya Mutua kumshtaki Ruto kwa Raila – Taifa Leo

Loading...

Na LEONARD ONYANGO

GAVANA wa Machakos, Dkt Alfred Mutua, amefichua jinsi alivyomshtaki Naibu Rais kwa Kiongozi wa ODM Raila Odinga, akidai kwamba alitishiwa maisha na Dkt William Ruto.

Loading...

Alipoenda kupiga ripoti jana kwa polisi akitaka wamchunguze na kumkamata Naibu Rais, ilifichuka alikuwa amemkimbilia Bw Odinga siku ambapo anadai alitishiwa maisha na Dkt Ruto katika Ikulu ya Nairobi.

Kupitia taarifa aliyoandikisha katika Kituo cha Polisi cha Kilimani jijini Nairobi, Dkt Mutua alisema Bw Odinga…

READ MORE FROM ORIGINAL SOURCE

Loading...

Related posts

Harambee Starlets kuingia mazoezini Jumapili maandalizi mechi za kufuzu Olimpiki – Taifa Leo

klf

Ana mimba na siko tayari kuitwa ‘baba’ – Taifa Leo

klf

Ruto awapongeza washindi wa chaguzi ndogo Ugenya, Embakasi Kusini – Taifa Leo

klf